Blog kukataa anwani wakati wa usajili
anwani ndiyo kama mhimili mzima wa blog yako na ndiyo sehemu ambayo watu wako wanaweza kusoma machapisho yako kupitia blog yako


SIFA ZA ANWANI BORA KWA BLOG
- inatakiwa iwe ya kipekee na isipokuwa ya kipekee blog hukataa kujisajili
- iwe fupi iwezekanavyo na yenye maana kwa mfano pesamtandaoni
- iwe na uwezekano wa kutafutwa mtandaoni mfano blog hii ya afya zetu anmwani yake ni https://afyazetu360.blogspot.ug/
- isiwe na alama kama !@#$%^&*()_+
No comments