Chapisho Jipya

jinsi ya kujiunga na paypalkwa ili kupata malipo ya mtandaoni

1

fungua PayPal account.

weka email address, tunga password, kisha jaza personal information.
2

thibitisha email na phone number.

hii inawasaidia paypal kujua wewe ni mtu sahihi.
3

unganisha credit, debit, au bank account.

pata maelekezo ya hatua kwa hatua jinsi ya kuadd credit card, debit card or bank account.
Kufungua account ya paypal bofya hapa                     



No comments