Chapisho Jipya

Jinsi ya kuwa wakala wa mpesa, tigo pesa, airtelmonay, halopesa , z-pesa na mabenki

Image result for mobile money tanzania"Je unajua Biashara ya Mpesa inalipa?

Mahitaji muhimu
1.Lesseni ya biashara
2.Tin Namba
3.Kitambulisho chako
4.Namba ya vodacom yenye majina ya kitambulisho chako


Hasara za kutumia Mpesa Till ya mtu mwingine
1. Ni rahisi kuswap lain Kwa mwenye doc zake na ukapoteza pesa yako
2. Ugumu kupata msaada unapohitaji huduma ukipoteza lain husika
3. Nyingi zinauzwa Kwa bei inayolingana na gharama ya kupata tin na lesen
4. Ikiharibika huwezi kurudisha kwakuwa huna na hujui Aina za doc zilizotumika kutengeneza.
*Maswali yanayoulizwa sana*
*1. Tin tunapata wapi?*
-Tin inapatikana tra baada ya kufanyiwa makadirio ya mapato yako
*2..Leseni tunapataje?*
_Leseni inapatikana halmashauri iliyo jirani nawe unatakiwa kupeleka tin na tax clearance uliyopewa tra ndipo upewe leseni. Mda wa leseni kutoka inategemea taratibu za mahali
*3. Faida gani za kuwa na tin na leseni?*
-Ukiwa na docs hizi utaweza kufanya biashara ya uwakala wa mitandao yote ya simu pamoja na uwakala wa mabenk.
Uliza swali lolote kuhusu hayo yaliyoandikwa juu utajibiwa hapa, share kwa wengine waone pia



uliza swali lako kwenye comment utajibiwa

8 comments:

  1. Nashukuru nilikuwa nataka kujua Jambo kwa MDA mrefu

    ReplyDelete
  2. Nawezaje kuwa wakala wa benki yoyote hapa Tanzania please!

    ReplyDelete
  3. Je, ukiwa Na TIN lakin lesen hauna pia waweza kupata laini ya uwakala Na ukafanya biashara?

    ReplyDelete
  4. That’s great :) It’s indeed a wonderful article. In addition, When you deal with Adrians, you can expect to get the most money for your junk car for cash Gold Coast junk car for cash Gold Coast. Any junk car removal can make you earn up to $9,999 in cash.

    ReplyDelete
  5. For anyone looking for a fast and hassle-free way to get rid of an old car, .cash for cars brisbaneis the perfect solution. These companies purchase all types of vehicles, whether they are new or used, and will give you full payment for the car

    ReplyDelete
  6. AUCashForCars has been successfully serving the Gold Coast area for many years. It is an ideal place for our services because cars here are prone to rust and break down as it is a coastal city. cash for cars gold coast

    ReplyDelete
  7. Your tips are great and I'm really interested in acquiring more posts with more real-life content. Car services are the unsung heroes of vehicle maintenance, ensuring our Cash for Cars Albion Service run smoothly and safely. From routine oil changes to complex repairs, they keep our rides in top shape.

    ReplyDelete