Jinsi ya kuongeza watembeleaji na subscribers katika youtube channel yako
Habari mpenzi msomaji wa blog yangu,
leo ntapenda kuongelea namna unavyoweza kujiongezea watembeleaji na subscribers katika chaneli yako ya youtube.kama tunavyojua youtube ni moja kati ya sehemu ambayo watu wengi hujivunia mapesa mengi sana kutokana na malipo yao mazuri katika matangazo yao. Youtube ina mpa share asilimia 55% mmliki wa chaneli pale tangazo linapooneshwa ambapo watazamaji na watembeleaji wako wakitizama mara 1000 unaweza pata hadi dola 9 za kimarekani sawa na kama elfu 22 za kitanzania.
Hebu tuchimbe kidogo lengo letu hapa
ili uweze kujipatia kipato kwa video za youtube kuna vigezo lazima uvifikie na vigezo hivyo si rahisi sana kuvifikia kama hauna watu wa kutosha.nikimaanisha subscribers wako lazima wawe elfu moja au zaidi.
Unaweza kusoma pia:jinsi ya kutangaza na popAds kwenye website na blog yako na kuvuna mapesa
Unaweza kusoma pia:jinsi ya kutangaza na popAds kwenye website na blog yako na kuvuna mapesa
ni vipi unaweza fika subscribers elfu moja kiurahisi na kupata views nyingi?
- kuna baadhi ya website ambazo zinatoa huduma ya trafic exchange yaani mbadilishano wa watembeleaji. yaani natembelea website,youtube video na social media za watu na wao wanatembelea zako. website kama Traffup ndo ninaweza kukushauri ujiunge nayo japo lazima nikuambie tatizo lake.tatizo kubwa ni kwamba kwa traffup 1/3 ya subscribers huwa wana unsubscribe. japo utaendelea kupata subscribers wa kutosha sana kulingana na juhudi zako. ila inaongeza viewers na comment za kumwaga na zenye ubora. kujiunga bonyeza kati ya picha moja hapo chini kulingana na uhitaji wako ni bure kabisa kujiunga nao na kufanya nao kazi.
jipatie instragram followers
jipatie youtube subscribers wa bure
jipatie retweets
jipatie website visitors
- pili jinsi ya kuongeza subscribers wa uhakika ni kutumia marafiki wako wa social media kama facebook, twitter, instagram na nyingine zote. haitakiwi uwe muoga au na aibu kumuomba rafiki yako akusaidie kusubscribe kwenye chaaneli yako. wengi wetu tuna marafiki wengi sana kwenye social media hivyo huna haja ya kuogopa.
- nyingine ni kuzalisha video ambazo watu wako watahitaji kuziona.
- Na ya mwisho ni usisahau kuwaomba watu waweze kusubsribe kwenye chaneli yako kila mwanzo na mwisho wa video zako
Nadhani utakuwa umepata jambo mpenzi msomaji usisahau kucomment chini hapo na kama una swali uliza au kama unahitaji msaada wowote usisite kuwasiliana nami.
Asante kwa mbinu nzuri
ReplyDeleteDah!!! Pamoja sana... Nimekupata vyema...
ReplyDelete