Chapisho Jipya

Jivunie pesa na YLLIX kwa payout chini ya dola moja (2018)

Monetize your website traffic with yX MediaYLLIX ni kampuni ya matangazo ya mtandaoni kama ilivyo adsense ila sasa naweza kusema kwa waandishi wapya au wale wanaotaka kuongeza mavuno ya mtandaoni.Nawashauri YLLIX.Nilivyojiunga na adsense nilipata malipo ya kwanza baada ya miezi tisa kwa sababu ilinibidi nifikishe dola mia za kimarekani ni jambo la kukatisha tamaa sana kwa waandishi wapya.Nilipojiunga na YLLIX nilipata malipo ya kwanza baada ya siku 11 kwa sababu ilinibidi nifikishedola moja tu.

KWANINI NAKUSHAURI YLLIX?

Yllix ina faida nyingi sana  ukilinganisha na mitandao mingine ya matangazo hasa kwa waandishi wapya.

  • Ina uwezo wa kufanya kazi na adsense kwa pamoja
  • ina payout ya chini zaidi
  • ni rahisi kupata account kwao
  • hulipa kwa njia nyingi ikiwemo paypal
  • ina ruhusu lugha yoyote ile sio kama adsense
  • ina ruhusu website ya aina yoyote ile. (adults na non-adults)
  • ni rahisi kuweka matangazo yake
  • wanaweza kulipa hata kila siku

VITU UNAVYOTAKIWA KUWA NAVYO KUJIUNGA

  • Uwe na blog ama website.haijalishi iwe ni ile ya platform za bure kama blogger na simplesite ama yoyote ile
  • uwe na machapisho kadhaa kwenye blog
  • uwe na watembeleaji

JINSI YA KUJIUNGA

Monetize your website traffic with yX Media
  • Bofya link hii YLLIX
  • Utachagua kuwa publisher
  • utaingiza taarifa zako
  • na utapewa code za kuweka kwenye site yako(kama hujui jinsi ya kupaste bofya hapa)
  • na moja kwa moja utaanza kujiingizia kipato
Soma pia kuhusu adsense kwa kubofya hapa
kama unahitaji tukutengenezee blog ama website wasiliana nasi kwa bei nafuu sana.
Ahsante sana share na toa maaoni au ushauri au maswali
karibu

8 comments:

  1. asante kwa hilo somo la matangazo ya yllix kwenye blog nimefanikiwa kujiunga mpaka mwisho na nkatumiwa email ya kunikaribisha lakini nimeshindwa namna ya kuyaweka hayo matangazo kwa blog yangu maana wanasema hawarushi direct isipokuwa kuna code wanakupa sasa kwenye kuzi install kwenye blog ndo imenishinda naomba msaada wako tafadhali.pls

    ReplyDelete
    Replies
    1. kama umeshaziona code pale kwenye ad tag utazicopy na fuata maelekezo ya chapisho ili https://mtandaopesa.blogspot.ug/2017/06/jinsi-ya-kupaste-code-kwenye-blogger.html

      Delete
  2. Tofauti YA publisher na advertiser ni hipi pale naje kwenye kuchagua pale unashauri tuweke active zote au deactivate??

    ReplyDelete
    Replies
    1. advertiser ni yule anayetangaza kwa kupitia blog yako na publisher ni wewe unaeweka matangazo yake kwenye blog yako. weka active publisher na utakapo weka matangazo yao kwenye blog yako make sure unatafuta watembeleaji wengi mno ili wakuamin na kukupatia advertisers wanaolipa zaidi

      Delete
  3. Tofauti YA publisher na advertiser ni hipi pale naje kwenye kuchagua pale unashauri tuweke active zote au deactivate??

    ReplyDelete
    Replies
    1. advertiser ni yule anayetangaza kwa kupitia blog yako na publisher ni wewe unaeweka matangazo yake kwenye blog yako. weka active publisher na utakapo weka matangazo yao kwenye blog yako make sure unatafuta watembeleaji wengi mno ili wakuamin na kukupatia advertisers wanaolipa zaidi

      Delete
    2. Pitia blog hii kujifunza Njia tofauti tofauti za kutengeneza pesa mtandaoni

      https://jovinskills.blogspot.com

      Delete
  4. Kwa wale ambao wanaitaji blog zao ziwaingizie pesa basi tembelea hapa utapata msaada

    www.funzoapp.com/

    ReplyDelete