Chapisho Jipya

MAKOSA makubwa yanayofanywa na waandishi wa adsense

kuna jambo dogo nimetaka kuwaelekeza new bloggers na webmasters kiujumla kuhusu google adsense.kwa bloggers wapya ambao hupata google adsense na hasa wakisha pata huweza kupoteza adsense kwa makosa kama haya mara nyingi
1.huwa wanaclick matangazo yao wenyewe.ilo huwa na kasheshe maana google wakikugunfua wanaweza kukufungia au kukususpend kwa mwezi mmja.
2.huomba marafiki kubofya matangazo yao.hii nalo ni tatizo kubwa kwa akaunti mpya za google kwa sababu huwa wanatamani mapato makubwa ya adsense kwa njia iyo.
SASA NI KIVIPI GOOGLE HUGUNDUA MATATIZO HAYO
1.Kuangalia email logs.hii huwasaidia kujua ni nani muhusika aliyeclick
2.kuangalia ip address ya kifaa kilichotumika
3.kuangalia kama kompyuta hiyo ilishachapisha blog husika au la.
hayo ndio niliyotaka kuwapa leo

1 comment: