Chapisho Jipya

Jinsi ya kupaste code kwenye blogger

Image result for javascript code
Leo nimependa tuangalie jinsi ya kupaste codes za kitu fulani mfano widget mbalimbali kama vile za recent posts na kadhalika.Kinachohitajika uwe na blog au website na kinachofuata ni
Ingia katika sehemu ya platform unayotumia

  • kama wewe ni mtumiaji wa blogger ukiangalia kushoto kwako utaona kuna sehemu imeandikwa layout ama mipangilio kwa kiswahili na kama ni mtumiaji wa platiforms nyinginezo kama wordpress na nyingine nyingi ntaandaa machapisho.
  • Ukishaingia katika layouts au mipangilio chagua sehemu unayotaka kuongeza codes husika kwa kubofya add widget
  • Ukibofya utaona machagulio ya mengi chagua sehemu ya HTML/JAVA SCRIPT
  • hapo itakuletea windoa ina viboksi viwili cha kwanza ni kichwa cha codes na cha pili ni codes zenyewe hapo utakuwa
  • utapaste codes zako pale hapo utakuwa umemaliza utasave.

HAPO UMEMALIZA

No comments