Chapisho Jipya

JINSI YA KUPATA FAIDA UKIJIUNGA NA ALLIANCE IN MOTION GLOBAL

Alliance In Motion Global inajipambanua kuwa ni mfumo bora zaidi wa Biashara Mtandao kwa kupitiaManufaa wanayoyapata watu waliojiunga Kupitia Mtandao huo. Katika mfumo wa Alliance In Motion Global unatoa mwanya kwa mtu aliyejiunga kujipatia Kipato kila siku bila aina yoyote ya unyonyaji bali kwa kumuhamasisha mwanachama kuendelea kukuza mtandao wake ili aweze kuingiza faida kubwa zaidi.

Kupitia makala hii hapa chini utaweza kuona aina mbalimbali ya manufaa ambayo unaweza kuyapata ukiwa kama mwanachama wa Alliance In Motion Global. Ni kupitia mfumo huu bora wa malipo iunaotoa faida kwa wanachama wake uliopelekea Kampuni hii kupata Tuzo ya Kampuni Bora ya Biashara Mtandao (Network Marketing) toka Multlevel Marketing International Association (MMIA) kwa miaka kadhaa mfululizo katika Tasnia ya Biashara Mtandao (Network Marketing Industry).


Maelezo hapa chini yatakusaidia Kujua  namna ya Kunufaika kupitia Biashara hii.-

Njia za Kunufaika na Alliance In Motion Global

Kama msambazaji/ mshirika wa Kibiashara wa Alliance In Motion Global, unayo nafasi ya kunufaika na kujiingizia mamilioni ya Fedha kupitia njia Saba (7) tofauti tofauti na kwa wakati mmoja.
Njia ya Kwanza. MAUZO (25% hadi 50% ya faida ya mauzo)
Ni uamuzi wako tu– Kama utapenda kufanya biashara ya Kununua na Kuuza bidhaa za Alliance in Motion Global utajipatia faida ya kati ya 25% hadi 50% ya mauzo yako kadri utakavyoagiza bidhaa katika Kipindi chote cha maisha yako, wakati huo huo ukiuza bidhaa unazidi kujishindia Pointi nyingi zadi zinazokuongezea kipato na wakati mwingine kukupa manufaa zaidi kama safari za nje ya Nchi nk.  Mfano kwa bidhaa kama C 24/7 inayonunuliwa kwa Sh. 56,200 inauzwa 71,400 hivyo kukupa faida ya Sh. 15,200.

Kumbuka: Bidhaa za Alliance In Motion Global zianajiuza zenyewe kutokana na ubora wake na umuhimu wake katika maisha ya Kila siku ya binadamu, Hivyo basi sio lazima kuuza bidhaa bali unaweza pia kuzitumia kuimarisha Afya yako, familia yako na uwapendao na kuwajari. Pia hakuna ulazima wa kuuza bidhaa kila mwezi kama yalivyo makampuni mengine.

Njia ya Pili. DIRECT SPONSORING BONUS ( Pato la Moja kwa Moja) Tsh.34,000
Kila mwanachama wa Alliance In Motion Global anapaswa kuwashirikisha angalau watu wawili (Nguvu ya watu wawili). Watu hawa wawili wakiwa wanachama pia wa Alliance in Motion Global kama wewe utajipatia Kiasi cha Shilingi 34,000 toka kwa kila mmoja wao hivyo utajipatia Kiasi cha Shilingi 68,000 ambayo unaruhusiwa kuitoa kwenye akaunti yako ya Bank na kuitumia utakavyo.  Jambo zuri tofauti na Makampuni mengine ni kwamba utaendelea Kupata 34,000 bila Kikomo kwa kila mwanachama Mpya atakayeingia kupitia Kwako.
Endapo utapata watu wawili tuu ambao wanafanya vizuri katika Biashara hii utaweza kujipatia hadi zaidi ya Shilingi Millioni 1 kwa Siku.


Njia ya Tatu.  MATCHING BONUS ( Tsh 137,000) – Hiki ndicho Kipato Kinono na cha Kuvutia Katika biashara hii.
Kumbuka watu wawili uliowaunganisha Katika Kampuni ya Alliance In Motion Global wanawekwa chini ya himaya yako, mmoja katika upande wa kulia na mwingine katika Upande wa Kushoto, Watu watakaojiunga kwako watawekwa chini ya himaya ya uliowaunganisha. Hii ni kusema kila mwanachama wa Alliance In Motional Global anapaswa kuwa na watu wawili tuu wanaomfuata hali itakayosaidia kukuza kipato cha kila mmoja katika mfumo au cheni nzima. 
Kumbuka: Watu wawili wanaokufuata  wanaweza kupatikana moja kwa moja Kupitia kwako mwenyewe au kwa njia Mtawanyiko (spillover) toka kwa mtu aliyekuunganisha. Hapa namaanisha  aliyekuunganisha anaweza kuwa na watu wa ziada wanaozidi kumfuata hivyo anaweza kuwaunganisha chini yako. Upliner (Aliyekutangulia). Hii inamaanisha unaweza  kupata wafuasi kupitia kwa aliyekutangulia. 


Kuanzia mtu wa pili atakayejiunga haijalishi kwa namna gani, iwe upande wa Kulia ama upande wa Kushoto, mfumo wa AIM Global utawaumganisha na utapokea takribani Sh. 137,000 kwa kila pea moja kwa vizavi vyote vilivoko chini yako.  
Haijarishi hauwezi kuwaelekeza watu wengi zaidi lakini kampuni iytazidi Kukulipa kadri mrorongo wako utakavyokua na watu wawili kwa kila upande.

 Manufaa ya Kuwekeza Katika Akaunti nyingi

Njia ya Nne.Manufaa ya Akaunti 3

Kampuni ya Alliance In Motion Global inakupa uhuru wa Kuanza na account tatu pia hata kabla ya Kuwa na watu chini yako (Underliners). Akaunti tatu zinakufanya uweze Kujipatia mara tatu ya ulichokiwekeza katika Kila akaunti bila usumbufu wowote na kwa jitihada Kidogo. Tizama picha hapa chini kujifunza zaidi:

Njia ya Tano.Manufaa ya Akaunti 7

Pia Kampuni ya Alliance In Motion Global inakupa uhuru wa Kuanza na account saba hata kabla ya Kuwa na watu chini yako (Underliners). Akaunti saba zinakufanya uweze Kujipatia mara zaba zaidi ya ulichokiwekeza katika Kila akaunti bila usumbufu wowote na kwa jitihada Kidogo. Tizama picha hapa chini kujifunza zaidi:

Njia ya Sita: Manufaa ya Mwaka (One Year Scenario).

Katika Njia hii inakusaidia Kujiingizia Kipato hata kama umetingwa na Majukumu namna gani ama hata kama ni mvivu kufanya Shughuri hii. Hapa unaweza kujikuta ukiwa Millionea kwa kuwekeza kwa kujiunga tuu na Alliance in Motion Global. Katika Mfumo huu utakua ukijitengenezea Kipato kila mwezi na hadi Kufikia mwisho wa mwaka utakua na Mamilioni ya pesa kwenye Akaunti yako kikubwa tuu watu wawili uliowaunganisha au watu wawili watakao unganishwa na watu wako waweze kuzidi kuwaunga wenzao. Hebu tizama hapa chini:

Njia ya Saba: Bonasi za Kimataifa (UNILEVEL BONUS (5%-10% REBATES OF PRODUCT SV).

Bonasi hizi za Kimataifa hutegemea uagizwaji wa bidhaa wa mara kwa mara Kutoka Kizazi chako cha Kwanza hadi Kizazi cha 10. Kupitia hapo unaweza kujipatia Kipato cha asilimia  5%-10% ya Kipato chako cha Mwezi kutokana na Pointi zilizoelekezwa katika bidhaa. (Points hizi zimepangwa na Alliance in Motion Global kwa kila bidhaa). Unaweza kujipatia 5% toka katika Kila mtu atakayeagia toka katika Kizazi chako au 10% toka kwa watakao agiza bidhaa moja kwa moja toka kwako. (Kumbuka hili ni pato la ziada). Hapa chini ni ufafanuzi wa Vyeo mbalimbali ndani ya AIM Global.

a. MANUFAA YA KUPANDA CHEO(STAIR-STEP (10%-30% OVERRIDING COMMISSION)
Kadri unavyofanya vizuri ndani ya Kampuni ya Alliance In Motion Global unazidi kupanda Cheo na kuzidi kupata Manufaa makubwa zaidi. Vyeo vilivyopo ni pamoja na Distributor, Silver Executive, Gold Executive, Global Ambassador, Rubby na Diamond. Angalia hapa chini kwa ufafanuzi zaidi:

b. Manufaa ya "Heshima" (Royalty Income)
Hii ni kwa wale ambao tayari wamepata Cheo cha Global Ambassador. Hapa utajipatia hadi 2% ya faida ya wale wanaokufuata ambao pia Global Ambassador hadi Kizazi cha tano cha Global Ambassador.
c.. Kupata gawio la kampuni ( Global Profit Sharing)
Endapo utafikia level ya  Global Ambassador ukiwa na Point 2000 na anayekufuata akawa Global Ambassador mwenye Pointi 2000  na anayekufuata kwa mara ya Pili na ya tatu nao wakawa Global Ambassador hata kwa Point 1000 utapata gawio la asilimia mbili kutokana na mauzo ya Mwaka ya Kampuni. Tizama picha hapa chini kwa ufafanuzi:

d. Faida za Safari Nje ya Nchi:

Bila shaka sasa umeelewa kuhusu Alliance In Motion Global na Ungependa Kujiunga. Hivyo basi nipigie +255766935721 nami nitakupa maelekezo kuhusu namna ya Kujiunga. Au bonyeza alama za Mitandao kwenye Kona ya Kulia ya blog hii na utawasiliana nami Kupitia mitandao mbalimbali ya Kijamii. Pia unaweza Kujiunga Online kwa Kubonyeza Hapa chini (Taarifa utakazojaza zitatusaidia kuwasiliana nawe Kokote Uliko Duniani ili kukusajiri).

No comments