Chapisho Jipya

Njia 3 bora za kujiingizia kipato bila mtaji mtandaoni

Karibuni wapenzi wasomaji leo tutaangazia njia za kujiingizia kipato kupitia mtandao kwa mtaji mdogo ama bila mtaji kabisa'

1.affiliate makerting(soko shiriki)

hii ndio njia ninayoweza kuipa namba moja kwani haiihitaji gharama kabisa kwani wewe hutatakiwa kununua bidhaa ili uuze bali utakuwa unatangaza biashara za watu alafu unapata gawio la faida pale watu wanaponunua kutoka kwa hiyo kampuni au watu unaowatangazia kupitia tangazo lako.Mara nyingi affiliate makerting huwa na code maalum ambayo watu waliokupa tenda huweza kujua nani ndo aliewavutia wateja kwao. Mfano wa makampuni maarufu kwa afiliate marketing Clickbank.com, Amazon.com, and CJ Affiliate by Conversant (zamani ilijulikana kama Commission Junction) ambao wao huuza bidhaa na huduma mbali mbali


Soma kuhusu amazon

2.blogging(uandishi wa blog)

Naupa namba mbili kwani unachotakiwa kuwa nacho hapa ni bando na kifaa kinachoweza kuandika mfani laptop au hata smartphone yako ya mkononi. Uandishi unaweza kukuingizia mapato pale ambapo utapata watembeleaji wengi na kupata makampuni ya kutanagaza katika blog yako. Kuna blog platform nyingi sana ambazo zinatoa free hosting ikiwemo BLOGGER na wordpress ambazo ndizo maarufu zaidi.
soma pia.kwa waanzishi wanaoanza YLLIX ndio chaguo bora jiunge na yllix kupitia hii link kwa kubofya picha 
Monetize your website traffic with yX Media
pia unaweza kuomba matangazo ya adsence ambayo ndio maarufu zaidi duniani kwa kuwalipa waandishi wa blog.

3.online video(video za kimtandao)

Ukiongelea swala hili ni direct utaenda kwenye kampuni maarufu ya YOUTUBE ambayo ndiyohutoa service hiyo kwa watu wengi zaidi duniani.huihitaji kuwa na vifaa vingi kuanzisha chaneli yako mtandaoni yaani ni rahisi tu unachotakiwa kuwa nacho ni simu yako tu.Kuna watu wanapokea mkwanja wa kutosha youtube kwa kujirekodi wakifanya mambo ya ajabu huwezi amini, nnachotaka kukwambia ni haihitaji uwe profesional kufanya kazi hii.na itakulipa. kuwa pamoja nami na ntawaandalia chapisho maalumu kwa YOUTUBE CHANEL pekee.
kwa maswali au ushauri tutumie email hapo chini

No comments