Chapisho Jipya

JINSI YA KUWEKA MATANGAZO YA ADSENSE CHINI YA KICHWA CHA CHAPISHO

Mara nyingi watu hifikili jinsi ya kuyaweka matangazo ya adsense kiubora na mahala sahihi chini ya kichwa cha chapisho ndio mahala sahihi zaidi

JINSI YA KUTENGENEZA TANGAZO

  1. INGIA Google Adsense Account.
  2. bofya “My Ads” tab, tengeneza new Ad unit
Create new ad unit
Create a new ad unit
  1. andika jina la tangazo lako hilo japo jina yaweza kuwa lolote na performace nzuri nionayo ni kwa matangazo kama 300*250 Medium Rectangle or 336*280 Large Rectangle
ad size large rectangle
Select ad size
  1. tengeneza tangazo kuendana na mandhari ya tovuti yako.
  2. tangazo lako halitaonekana mpaka ugeuze code  hizo na kuziweka katika mfumo fulani.hebu tumia hiki kifaa bofya  HTML Parse Tool ili kubadili code zako kwenda katika code spesheli za html.
parsed adsense code
Copy parsed Adsense code

  1. sasa nakili code zililzopo katika box la pili.

JINSI YA KUWEKA CODE SASA

  1. Fungua blogger dashboard >> Template.
  2. Backup mandhari  yako.
  3. bofya Edit HTML button.
Edit Blogger Template
Press this button
  1. Copy code zote za mandhari na ziweke katika notepad. (ili kutafuta neno la hapo chini)
  2. bofya Ctrl+F na tafuta neno hili <data:post.body/>. utayakuta yapo mengi lakini wewe utalifanyia kazi la pili.
  3. sasa nakili maneno ya chini na uyaweke juu ya neno hili <data:post.body/>

<b:if cond='data:blog.pageType == &quot;item&quot;'>
weka code hapa
</b:if>
  1. sasa hapo palipoandikwa weka code hapa pafute na uweke code zako.
  2. bofya Save Template .
  3. umemaliza!!

No comments