Chapisho Jipya

NJIA ZA UFUATA UKUBALIWE GOOGLE ADSENSE KIURAHISI


Image result for adsense
GOOGLE ADSENSE ni moja kati ya njia za kuu na muhimu za kujiingizia kipato kwa waandishi na wamiliki wa blogs na website.Naweza kusema kwamba ndio kampuni inayolipa vizuri kuliko nyingine yoyote ile japo zipo nyingine kama;
chitika
uber cpm
yllix
 ambazo hizo hazina mlolongo mkubwa katika kuomba kwake.kama wewe ni mwandishi mpya au umeshjiunga adsense unaweza kujiunga na hizo kampuni nyingine kwa kubofya jina la kampuni husika hapo juu ili upate maelezo zaidi.
Tunarudi kwenye mada yetu ya google adsense

VIFUATAVYO NI VITU VYA KUZINGATIA KABLA YZ KUOMBA ADSENSE

1.KIWANGO CHA MACHAPISHO/POST

Kama unatumia blogger inatakiwa uwe na angalau machapisho 30 yaliyoshiba ambayo sio vitu vya kukopi sehemu yoyote,kama unatumia wordpress wanahitaji angalau machapisho 40 yenye vigezo sawa na vitajwa hapo juu na kama unatumia html site yoyote ile nyingine ni aghalabu ukawa na machapisho kati ya hamsini na kwenda mbele.

2.MTILILIKO WA MACHAPISHO YAFAAYO NA YASIYOFAA

Google adsense hukubali maombi mapema na kuchukulia uzito kama site yako itajihusisha namambo ya kiteknolojia afya biashara,ujasiliamali,usafili,ujuzi wa maisha na mitandao ya kijamii.
pia hao hao adsense watakataa ombi lako kama website yako itajihusisha na kutangaza siasa chafu,mauaji,video za ngono,na mengine mengi pia tovuti zitazobeba tukio huwa hazikubaliwi mfano 
www.mayweathervspacquiaomatchonline.com (Mayweather vs Pacquiao Match Online)
kama unavyoiona iyo.

3.KUSIWE NA MATANGAZO YA KAMPUNI NYINGINE YOYOTE

Google adsense hawawezi kukubali ombi lako endapo utakuwa umeweka matangazo ya kampuni nyingine ila japo uwezekano wa kuweka matangazo ya kampuni nyingine baada ya kukubaliwa adsense

4.MFUMO NA MPANGILIO WA MANDHARI YA TOVUTI YAKO

Hili ni lamuhimu sana kwa adsense wemyewe na watangaziwa wao lazima blog au tovuti iwe na mandhari inayovutia ndipo upewe adsense.angalia mfano hapa katika site hii AMAZING FACT 360

5.KUWA NA GOOGLE ANALYTIC CODE{VIASHIRIA}

Viashiria hivi kwa upande wa google adsense wanachukulia wewe muombaji upo makini na ni mtu uanejali kuchunguza watembeleaji wako hutokea wapi ivyo watakukubalia kiurahisi

6.KUWA NA UHAKIKISHO WA INJINI TAFUTAJI{GOOGLE OR BING VERIFICATION}

Kama ilivyo kwa analyitic codes unapokua na kitu kama uthubutu wa injini tafutizi zinasaidia wao kukuona kwa jicho la pekee wewe maana wwewe si muombaji pekee wpo wengi sana sasa ili uwe na sifa ya pekee ni lazima utafute code hizo na uzieke sehemu ya kichwa katika html yako

7.KUWA NA RAMANI YA TOVUTI{SITE MAP}

Hii ni muhimu pia kwani huielezea kwa uzuri kabisa website yako kulika hata maneno uliyoyaandika wewe na kudhani yameelezea kila kitu kwenye site yako.hivyo haichuia hata dakika kumi kutengeneza site map page na kuiweka kwa platfom au webmaster tool yako

8.KURASA ZA MUHIMU

Kuns kurasa ambazo ndizo adsense huangalia kwa umakini sana uombapo account hiyo kurasa hizo ni kama hizi zifuatazo
  1. Privacy Policy
  2. Disclaimer Policy
  3. Terms of Usage
  4. Contact Us
About Us (Write your name and address through which you applied the AdSense account)

KAMA UMEIPENDA CHAPISHO HILI TAFADHALI SHARE NA WENZAKO WWAJIFUNZE


2 comments:

  1. asanteni sana,je nauliza kama utacopy somewhere ila utaondoa baadhi ya maneno na ukaweka yako hao adsense watajua kama copy na kupaste?

    ReplyDelete
  2. NI KAZI wao kujua japo nakushauri.ni vema ukatumia content zako mwenyewe kwa maneno yako

    ReplyDelete