Chapisho Jipya

JINSI YA KUEPUKA KUFUNGIWA AKAUNTI YAKO YA GOOGLE ADSENSE


Kama wengi tuitegemeavyo google adsense kama mkombozi katika kujiingizia kipato mtandaoni kuna sababu kadha wa kadha zinazoweza kusababisha mkombozi huyu ambae wengi tumemtafuta kwa jasho akatuacha kirahisi.Maana yeye hulipa zaidi.Zifuatilie zaweza kuwa msaada kwako wewe ambae hauna google adsense account ama ambaye unategemea kuwa nayo

Image result for adsense HEBU TUZIANGAZIE SABABU HIZO

1.KUBOFYA KWA UONGO

Hii kwa lugha ya wenzetu huitwa invalid clicks hizi mara nyingi husababisha wale wanaoanza kutumia akaunti zao za adsense hutamani sana kuona ikiingiza hela hivyo huona ni vyema kuwaambia marafiki ndugu na jamaa zao kubofya matangazo kwenye site zao
Hii timu ya adsense ikigundua watakuondoa kwani utakua umekiuka sera maelezo zaidi soma hapa sera zao

2.KUTUMIA LUGHA ISIYOKUBALIKA

Pia laweza kuwa tatizo kubwa sana kwa watu wengi hasa nchi zile ambazo zina lugha mama kama tanzani akaunti inaweza kufungiwa kwani wengi hutumia lugha zisizikubalika na adsense soma hapa orodha ya lugha zinazokubaliwa

3.KUTUMA MATANGAZO KWA BARUA PEPE

Hii pia huchangia kwani matangazo katika barua pepe inaaminika hufanya kazi nzuri kuliko hata haya ya kwenye tovuti lakini hatari iliyopo unaweza kufungiwa

4.KULINADI TANGAZO

Hii hutumiwa na watu wengi juu ya tangazo utakuta imeandikwa click here au bofya hapa uone picha chafu,tazama aibu ya mchungaji na kadhalika hii pia hairuhusiwi

5.KUTOA MACHAPISHO YENYE HAKI MILIKI ZA WATU

Hili huwakumba wengi kwan ni wengi hatujui umuhimu wa kutokukopi 100% chapisho kutoka tovuti nyingine maana ni hatari kwa account zetu za google

6.KUTUMIA LUGHA CHAFU KWENYE TOVUTI YAKO

Adsense pia huwa wanapenda nidhamu ya lugha hivyo kama watadetech hatari yoyote unaweza kufungiwa

7.KUHARIBU ZILE CODES ZA MATANGAZO YAO

haitakiwi utoe code hata moja katika tangazo la adsense hivyo zingatia hilo

NI VEMA KUTAZAMA MACHAPISHO MENGINE KUHUSU ADSENSE BOFYA HAPA




kama una swali au maoni usisite andika comment yako hapo chini

2 comments:

  1. mimi bog yangu yaitwa wakwetusote.blogspot.com ila domain ni zantech.tk je haitokua shida? na kiswahili hakipo kwenye lugha zao hivyo tuchapishe zaidi kwa english au vipi?

    ReplyDelete
    Replies
    1. money online ni nadra sana kufungiwa kwa sababu ya lugha japo inawezekana ko kuepuka unaweza kuwa unatumia lugha inayokubaliwa na wao kwa kuchanganya na kisawahili. pia ni habari njema kwani adsense walikuwa na mpango wa kukiongeza kiswahili

      Delete