Chapisho Jipya

Je wajua faida za guest post(chapisho za kigeni)

Image result for write for us banner
Kama umekuwa ukinifuatilia kwa muda sasa utakuwa uaelewa maana na backlinks na jinsi inavyoongeza watembeleaji kama huifahamu bofya hapa maana kuna uhusiano mkubwa wa guest post na backlinks.

Kiujumla kuandika guest post watu huona kama ni kazi ambayo haina maana na ya kujitolea tu lakini ukweli wako kwa wamiliki wa blog na website si kwali,guest post zina msaada mkubwa katika kuongeza watembeleaji wa website ama blog yako ipasavyo

inasaidiaje?

inasaidia kwa mtindo huu kama unaandika guest post sehemu  hakikisha unaweka link ya blog au website yako na hata mifano ya chapisho lako hakikisha inagusa hapo hapo kwenye blog na site yako (HIYO NDIYO BACKLINK SASA)na pia andika kwa ufanisi mkubwa kwani endapo chapisho likipata watembeleaji jua site yako ndio itakuwa destination yao.pia hakikisha unashare chapisho lako kwa msaada zaidi wa kujulikana zaidi.

unafanyaje kuandika?

Unalotakiwa kufanya ni kuweza kuingia katika website husika inayoruhusu guest post mfano amazing fact 360 then utabofya sehemu waliyoandika guest post alafu utasoma maelekezo yao na ndani ya hayo maelezo utakuta email sasa kwa kutumia iyo email utawatumia post yako na wao wakiikubali itapostiwa na watakupa credit zote.kumbuka kwenye amazing fact unaweza submit hata chapisho la kiswahili ama lugha yoyote ile.kusubmit bofya hapa
AHSANTE KUSHARE NI KUJALI AHSANTE

1 comment:

  1. hii imenisaidia kupata watembeleaji kweny blog yangu kwa mda sasa.asante

    ReplyDelete