Chapisho Jipya

jinsi ya kutangaza na popAds kwenye website na blog yako na kuvuna mapesa

PopAds.net - The Best Popunder Adnetwork

popAds ni mtandao wa kutangaza matangazo kwenye blog na website. Nimetokea kuupenda kwa sababu un manufaa makubwa sana kwa mwandishi. Mtandao huu unatoa matangazo kwa njia mbali mbali na mengi ni yale ya pop up na pop under. yaani kurasa ya blog yako mtu akitembelea inafunguka na ukurasa spesheli wa popAds ambao unakuwa na matangazo.
Uzuri wa popAds ni kwamba unakuwa na malipo mazuri ukifananisha na kampuni za matangazo mengine

mfano leo asubuhi nimenijiunga na blog yangu ya blogger.com na nikazalisha dola 0.03 inamaanisha mtandao huu ni mzuri kwa kipato.hasa kwa blog ambazo ni changa.  kujiandikisha na popads bofya hapa
malipo yao ni kila siku dola tano kama unatumia paypal na wanasapoti blogu ya aina yoyote ile, kwa maswali yoyote au ushauri usiache kucomment

3 comments:

  1. Mimi ni mtumiaji wa ads network yaan Ylix na Popads nina trick ambayo ukiitumia unatengeneza $6 kwa siku kufahamu zaidi nitafute kwa email jovinmwijage9@gmail.com

    ReplyDelete