Chapisho Jipya

YLLIX HUU NI MBADALA MZURI WA ADSENSE KWA WAANDISHI WAPYA


Image result for YLLIX
Umepita muda mrefu sana waandishi wapya wa blog na website wakitaabika njia gani haswa itawafaa wao kujiingizia kipato kwani Google adsense imekuwa ikihitaji vigezo fulani ambavyo ni vigumu kwa mwandishi mpya kuvitimiza.
Sasa zimejitokeza kampuni ndogo ndogo kadha wa kadha katika kuwa mbadala wa adsense lakini hii yllix nimeiona inafaa zaidi katika kuwa mbadala wa google adsense
Kutokana na sababu mbali mbali ambazo ntazielezea zitakueleza vizuri na kudadavua ni kwanini yllix nimeipa chaguo la pekee katika makala hii na kwanini nakushauri iwe moja ya watangazaji katika blog au website yako.
Monetize your website traffic with yX Media
  • Yllix inakubali watembeleaji toka nchi yoyote ile duniani.hii ni moja ya sababu kubwa sana kuhusiana na mbadala wa google adsense kwani mibadala huwa inasapoti na kuuzalishia kipato kama raia wako watatokea nchi kama usa canada na nyingine chache.na sio dunia nzima kama google adsense na yllix
  • Yllix ina lipa kiwango kizuri ambacho mtu anayeanza uandishi anaweza kuifikisha kwa urahisi zaidi kiwango hicho ni dollar moja ya kimarekani.ambapo mibadala mingine huwa na kiwango cha chini kama dola 25 na kuendelea ambayo ni kazi kwa mwandishi mpya kufikia
  • Inatoa matangazo ya aina zote hivyo blog ya kila aina inaweeza kupata tangazo lifaalo
  • Ina njiia nyingi za malipo kama paypal payza wiretransfer na nyingine nyingi
  • Inaweza kutumika na google adsense kwa mda mmoja
Monetize your website traffic with yX Media

                                      jinsi ya kujiunga

Unaweza kujiunga na yllix kwa kuclick hapa

No comments