Chapisho Jipya

JINSI YA KUWEKA VIBOKSI VYA FACEBOOK KATIKA WEBSITE AU BLOG YAKO


Katika masuala ya muhimu kwenye mtandao ili kuongeza visitor njia mojawapo ni mitandao ya kijamii.
Sasa leo tutaangazia viboksi vya facebook vya kurasa na cha mtu binafsi.
1.KIBOKSI CHA KURASA
Hiki huelezea na kuonyesha taarifa kuhusu page/kurasa inayohusika
jiinsi ya kukiweka
Kulingana na platform unayoitumia tafuta seheme iliyoandikwa layout/mpangilio kama ni blogger alafu add widget kisha chagua html/javascript
itatokea kibirisha kidogo kipya
kopi code hizi hapa chini
ONA HAPA
<div class="fb-page" data-href="WEKA HAPA GROUP ADDRESS" data-small-header="false" data-adapt-container-width="true" data-hide-cover="false" data-show-facepile="true"><blockquote cite="https://www.facebook.com/amazingfact360/" class="fb-xfbml-parse-ignore"><a href="https://www.facebook.com/amazingfact360/">Amazingfact360</a></blockquote></div>
kopi zote
Alafu nenda facebook page husika kopi address ya kurasa hiyo
paste sehemu waliyoandika WEKA HAPA GROUP ADDRESS.Na ukimaliza hayo ya weka hapa group address yafute
alafu save.
2.JINSI YA KUWEKA KIBOKSI CHA FACEBOOK KIDOGO KIHUSUCHO MTU
Process ni kama hizo hapo juu kinachobadilika ni kwenye codes tu
ONA HAPA
<iframe src="//web.facebook.com/plugins/follow?href=WEKA ADRESS YA AKAUNTI HAPA&amp;layout=standard&amp;show_faces=true&amp;colorscheme=light&amp;width=450&amp;height=80" scrolling="no" frameborder="0" style="border:none; overflow:hidden; width:450px; height:80px;" allowtransparency="true"></iframe>
KOPI ZOTE


2 comments:

  1. http://afronewsworld.blogspot.com
    Nimeipenda hiyo endelea kutufundisha.

    ReplyDelete