Katika mtandao kuna vitu viitwavyo link mfano ni http://addyourwebmoney.blogspot.com hii ni ni link ya blog yetu.sasa basi hiyo link wewe mtembeleaji utakapoiclick itakupeleka moja kwa moja katika blog hii hii haitakutoa nje ya blog yetu hii.sasa naweza kukuonyesha mfano mwingine http://www.amazingfact360.xyz/2017/06/10-adorable-and-unique-animal.html hii ni link nyingine ambayo mtu ukiclick inakupeleka katika tovuti nyingine kabisa.maana ya backlink inaanzia hapo yaani hii tovuti ya add your web money imetengeneza backlink ya amazing fact.kwa hiyo visitors wanaweza kutokea moja kwa moja kutoka kwenye hii blog kwenda kwa amazingfact.hiyo ndiyo maana ya backlinks
FAIDA ZA BACKLINKS
Backlink zinakusaidia kuleta watembeleaji kutoka katika tovuti mbali mbali
Backlinks zinakusaidia wewe kuonekana juu kwenye injini za utafutaji kama vile google na bing
WEKA AKILINI
backlink huwa sio za kulipiwa
backlink nzuri inatakiwa uiweke katika website yenye machapisho mazuri
backlink inatakiwa uitengeneze taratibu la sivyo injini tafutizi kama google zitakutambua kama umefoji
jinsi ya kuweka backlink
unaweza kucomment katika website ukaandika na website au blog yako
unaweza kukuta website ambayo inaruhusu machapisho ya kigeni ukachapisha kisha ukaandika na website links zako
au katika mtandao wa kijamii ka wa page ya pata pesa mtandaoni unaweza kukomenti website yako
KUONGEZA WATEMBELEAJI KWA KUTUMIA BACKLINKS
Reviewed by Raphael Hans
on
June 07, 2017
Rating: 5
www.timanainfo.blogspot.com
ReplyDeletefor more information about technology tricks, life experiences
hi,
Deletekama unahitaji kutengeneza backlink katika tovuti kama hii unachohitaji ni kuchagua reply as uweke name/url au uweke google akaunti yako
ahsante kwa ushauri wako.
ReplyDeleteAsante sana kwa somo
ReplyDeletehttps://www.afyacheck26.ml/?m=1