Chapisho Jipya

JINSI YA KUTUMIA MARQUE GENERATOR

Image result for bouncing ball
Kwa kuanza lazima tujue marque generator ni nini?
Marque generator ni kifaa kinachotumika kutengenezea maneno ama picha zinazozunguka.
Ili tuweze kwenda sambamba bofya hapa kufungua marque generator na itakufungulia window mpya na kukuachia hii ili uweze kusoma maelekeza na ukijaribu kwa vitendo
  • kushoto kwa generator hii utaona mishale fulani
  • Ile inaonyesha ni wapi maneno yaelekee na yaanzie yaani kushoto kulia juu au chini jaribu kubofya utaona.
  • Chini yake kuna kasi ya mzunguko iyo ni kwaajili ya wewe kuweka kasi uitakayo kwa maneno yako
  • Chini yake kuna scoll na bounce,scoll inamaanisha yazunguke na bounce inamaanisha yawe yanagonga katika kuta za pembeni unachagua moja
  • Chini kuna text colour na bacground zote hizi ni rangi kuna code maalumu kwa ajili ya kuzionyesha rangi hizo ambazo utaandika namba husika ya code ikianzia na # kwa rangi uipendayo kuchagua rangi bofya hapa
  • Chini yake kuna padding ambayo ni urefu unene na vipimo vya maneno
  • Kisha margin ambayo utaamua kuta zake ziweje
  • kisha kuna kuweka maneno yako kwa chini ili ndiyo yaonekane yakizunguka
  • Chini yake kuna mifumo mbali mbali ya mwonekano wa maneno yanayozunguka kama bold italic ama algerian na kadhalika
  • Inayofuata ni eneo lakuweka link ya image unayo taka izunguke ndio utaiweka hapo ikianziwa na http
  • Na mwisho ni alt text kama wewe ni mwandishi wa code lazima utaijua kuwa hii ni special kwa kuielezea picha yako hivyo endapo picha haita load kwa namna na sababu yoyote ile maneno hayo yataonekana kama mbadala
HAPO UMEMALIZA UTAKOPI CODE ZAKO NA KUPASTE KWENYE SITE AU BLOG YAKO
  pia kuna somo kuhusu jinsi ya kukopi na kupaste html codes au javascript codes kwenye blogs na website

No comments