KUTENGENEZA SITE MAP YA BLOG YAKO(blogger)
jinsi ya kuweka site map ya blog ili injini tafuti al maarufu kama search engine zikupate kiurahisi inahitaji kitu kinaachoitwa site map.yaaani ramani ya site yako sasa kwa watumiaji wa blogger ni kivipi utaipata iyo site map.ni kama hivi
Utahitaji kutengeneza site map yako kwa kutumia site map generator ambayo utaipata kwa kubofya hapa
hii site map ya hapa itakusaidia kutengeneza vitu viwili maalum kabisa
sasa utaingiza jina la blog yako katika boksi dogo la kwanza kabisa na jina la blog yako liwe muonekano huu http://afyazetu360.blogspot.com usiweke mkato mwishoni halafu bofya enter baada ya kuweka url ya blog yako.
Ukibofya enter zitatokea codes nyingi nyingi ambazo boksi la kwanza imeandikwa robot.txt hizo ndo sisi tunadili nazo hapa
utazikopi hizo zitokazo boksi la kwanza halafu utaenda katika tovuti ya blogger mahara ambapo ndipo unapohost blog yako na kufuata hatua hizi
- nenda sehemu iliyoandikwa setting
- kisha ingia sehemu iliyoandikwa search preference
- kisha shuka chini kabisa utakuta sehemu imeandikwa robot.txt
- utaingia hapo na utaweka enable
- litatokea boksi chini
- utapaste zile code
- hapo utakuwa umemaliza
http://qurannasunnahtz.blogspot.com
ReplyDelete