JINSI YA KUWEKA BLOG YAKO IONEKANE VYEMA KWENYE VIFAA VYOTE KAMA SIMU TABLET MPAKA COMPUTER
Imekuwa kiza kinene kwa waandishi wa blog na website manaotaka website na blog zao zionekane katika ubora mzuri kwenye vifaa vyote nini kama vile simu tablet ipad na hata computer.
lakini suruhisho lipo kwani vifaa vyetu hivi hutumia njia moja ya mawasiliano katika lugha yao ambayo tunaiita HTML(hyper text mark-up language) ambayo sisi ndo tutaongea na vyombo hivyo kuviambia basi vituonyeshee website ama blog yetu katika ubora mzuri
sasa basi kama ni mtumizi wa blog sina shaka unajua seheme gani utakuta sehemu imeandikwa template au imeandikwa theme utaingia hapo na kisha utaingia kwenye edit html(theme/template).utabofya hapo
Kama unatumia platform yoyote nyingine hakikisha unafanya vivyo ivyo kama maelezo haya ninayoyatoa au njia kama zitatofautiana si sana hakikisha unafika sehemu hiyo ya kuedit html
baada ya hapo kuna maneno spesheli kwa ajili ya kuiambia website ijitahidi kuwa na muonekano mzuri
maneno hayo utayanakili na kuyapaste kati ya sehemu iliyoandikwa <head> na</head>
utayapaste hapo
copy maneno yenye rangi nyekundu
<meta name="viewport" content="width=device-width,initial-scale=1,maximum-scale=1,user-scalable=no">
<meta http-equiv="X-UA-Compatible" content="IE=edge,chrome=1">
<meta name="HandheldFriendly" content="true">
kisha paste hapo katikati ulipoelekezwa KISHA SAVE hapo utaisaidia site kuendana na kifaa husika
Naomba kama hautajali unielekeze namna nzuri ya kuboresha blog yangu,pia website gani ya matangazo inakubali blog ya kiswahili.
ReplyDeleteKama haujatali naomba unijibu kwa e-mail:
manuma1984@gmail.com